Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Hivi ni lipi neno sahihi la kiswahili..tunzo au tuzo naona yote yanatumika interchangeably..!!
 
anastahki daimond hapa kwenye shooting tuweke ushabiki pembeni
ila tell darlin avae viatu mwambieni
 
Hehehhehe leo watani wa jadi naona league ndo inaanza. Diamond vs Ali k ..2-1
 
Back
Top Bottom