Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

hahaaaa ngosha hajafika yuko njiani woyooooo akifika natamani achelewe vivyo hvyooo niangalie burdaniii
 
Wakimnyima JUX RNB na BARNABA mtunzi bora. Nazima tv.
 
Hahahahaaa, nacheka sana nikisoma comments kwakweli.
Ila Zembwela alijua mapema kua domo atashinda.
Tujipoze mambo bado.
 
Jamani mliokua mnalia upendeleo mbona MTU wenu kashinda Mara mbili. Muwe mnaweka akiba ya maneno kwahyo mumebebwa.
 
nifah anatamani aufute uzi aliouanzisha baada ya half time ubao kusoma 2-1 teh teh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom