MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 560
Omidimpoz kaboaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kama mpira mnavyoshabikia na sie ni raha zetu hapaaaaaa,
Wamekaaaaaaaaa wazee wa kukonyeza kioo chooni mjipeepee
weka picha
Walikuwa wanajihisi kushindwa shindwa.le mutuz jinga tu lileJamani mliokua mnalia upendeleo mbona MTU wenu kashinda Mara mbili. Muwe mnaweka akiba ya maneno kwahyo mumebebwa.
Nadhani imevuka kiwango cha kuwa burudani na kuwa kero na karaha.
Kumbuka vitu vingi ni wastani.
hii natamani barnabas achukue
Mkuu sijakataa kabisa
Ila punguzeni ushabiki mtaja pigana
2-2!...Hahahahaaa
Walikuwa wanajihisi kushindwa shindwa.le mutuz jinga tu lile
Haha walikua wanakesha wakivote na ku Screenshot. Dah noma sana
Barnaba hakika anajua sana