Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Kiba sokoni, mnyamaa diamond supermarket.. hahahahah mmemuelewa zembwelaaa???
 
Walikuwa wanajihisi kushindwa shindwa.le mutuz jinga tu lile

Wapuuzi kweli wakipata ndo washindi wakikosa wanaonewa na kushushwa. Sijui kwanini wabongo tunapenda kulalamika na kulaumu. Sasa hapo watasemaje? Kuweka akiba ya maneno ni kuzuri.
 
Back
Top Bottom