Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
Haaaaaa Sugu hapa aliingia chaka aisee
Pamoja na inflation hii?...:glasses-nerdy::glasses-nerdy:laki 5...
Ni wimbo bora kushirikiana, unaweza kunambia wameshirikiana nani na nani
Jamani yaani na katuzo kamoja ka FA nako mnakalilia? Hiyo sio fair, si bora mlilie kwa Diamond mwenye 2?
Huyo ilibidi apimwe akili kwa lazima.!
My dear nimekumisije
Kausha basiii!!kwahiyo mnataka uwe wa Alikiba ili tuhesabu 2-2 ?
kwahiyo mnataka uwe wa Alikiba ili tuhesabu 2-2 ?
utunzi boraBarnaba yupo ktk cartegory ipi?
Kausha basiii!!
Huyo demu ni laanaHuyo mke wa sugu ni mwehu. Akili yake haki ya nani haimtoshi.
Kuwa na ndugu kama huyo bora ukamatwe na fuvu la binadamu