Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Nacheki kupitia Itv katika Dstv ni poor kabisa yani inakata kata mpk nahisi aibu wameenda kufanya nn Dstv km mambo yenyewe ni hiviii....----- yuu!!!

Kuna jamaa kanikashifu sana hapa niliposema kua napenda kuangalia kupitia clouds tv.
Hiyo ndio sababu inayonifanya nisipende kuangalia kupitia ITV.
 
Old technology acha Azam TV aendelee kutesa tu Kwa staili hii. Flow nzima ya tukio inakosa ladha
 
Yaani nikadhni ni waya zangu tu! Yaani nimechomoa zote narudisha mambo yako vile vile tu.

Wakuda sana. Yaani karne hii na tamasha kubwa kama hili mnakua na IT wa kuungaunga!!
 
Nacheki kupitia Itv katika Dstv ni poor kabisa yani inakata kata mpk nahisi aibu wameenda kufanya nn Dstv km mambo yenyewe ni hiviii....----- yuu!!!

ITV wana kata kata sana wana bore sana hawa kwanini hawakujipanga.
 
----- tuu hao hawana lolote iyo Superbrands wamepewaje sijui najiuliza sipati jibu halafi mbaya zaidi katika Dstv ndio hivyo sijui inakuwaje km kule ktk ving'amuzi!!!
 
wamepanic kabla hata mechi haijaisha hawajui kama matokeo yanaweza kubadilika, vp shosti yako nifah kaenda wapi?

yupo Tu anakujaa,lazima Kuna tuzo anaisubiriaaa tu
 
Last edited by a moderator:
wamepanic kabla hata mechi haijaisha hawajui kama matokeo yanaweza kubadilika, vp shosti yako nifah kaenda wapi?

Wewe una kengeza au? Mie mbona niko hapa nimejaa tele?
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa kanikashifu sana hapa niliposema kua napenda kuangalia kupitia clouds tv.
Hiyo ndio sababu inayonifanya nisipende kuangalia kupitia ITV.

clouds nayo mwanzo haikuwa na sauti, ila ITV nayo muda huu kimeo...nimerudi CLOUDS!!
 
Back
Top Bottom