Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

hizi tuzo hata hao wasanii wenu wakubwa eti hawapo wanachukuliwa na wawakilishi.Hizo dharau kabisa
 
Christian anaimba kwa masikitiko kishenzi..

Jamaa wamemnyima tuzo wakati wimbo ulikuwa katika standard kubwa sana..

Well, 'ni matatizo ya dunia'....:becky::becky:

Na show yake ni nzuri kupita zote yani mie hadi natamani kulia
 
ITV wanasumbua zaidi, hata hawa wa speed kali aka smile bado matangazo yanakata kata.

Sikuwa na timu ila Diamond kukosa naona kaonewa

Huu ni unafiki wa dhahiri, tokea mwanzo unaonekana ni team Domo.
Haya bwana.
 
Christian anaimba kwa masikitiko kishenzi..

Jamaa wamemnyima tuzo wakati wimbo ulikuwa katika standard kubwa sana..

Well, 'ni matatizo ya dunia'....:becky::becky:

Sielewi kwakweli..
 
Aisee ningekua mm Bella nisinge imba. Wenzangu wa Sanaa ile ile wanatunzwa mm ndo niendeleze burudani na sijaonekana.....waimbe waloshinda..
 
Back
Top Bottom