Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Makubwa ya Aika na Nahreel na hayo mavazi...mhhhh!
 
Naziona mbili za Fid na moja ya Prof J.

Mama Africa, kama kawaida namuona anachomoka na mbili. Hapa achia mbali tano za Kiba, hapo tu roho yangu kwatu makombo tunawaachia wao..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Naziona mbili za Fid na moja ya Prof J.

Mama Africa, kama kawaida namuona anachomoka na mbili. Hapa achia mbali tano za Kiba, hapo tu roho yangu kwatu makombo tunawaachia wao..!!!

BACK TANGANYIKA

Ama nini mazee? Umemaliza kila kitu.
 
Mi sie timu kiba wala team diamond.. Nipo nipo tu.

But nina hamu mnoooo Kiba azizoe za kutosha ili tu Shati la vitz atokwe mapovu.. Cc. @niffah @W. J.Malecela
 
Hizi zikikosa ntasikitika sana.
+mtunzi bora = Barnaba
+video bora = ntampata wapi
+Msanii bora wa kike = Vanessa Mdee
 
Mi sie timu kiba wala team diamond.. Nipo nipo tu.

But nina hamu mnoooo Kiba azizoe za kutosha ili tu Shati la vitz atokwe mapovu.. Cc. @niffah @W. J.Malecela

Acha tu, naomba iwe hivyo naona watu wataandamana wakiongozwa na Le Mtumboz u know...
Ila umebadili avatar nikakusahau ujue?
 
Nipo macho kodoo kwenye tv...m nasubir Christian Bella achukue yake...wadau wangu wa tusker njoon huku pia..#Ruta , #Angel , #Heaven on earth, #DEMBA and many more
 
Ni upuuzi kufikiri kiba atapata tuzo zaidi ya 2, ni uwehu kabisa.
 
Back
Top Bottom