Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Mziki wa Tanzania kufika mbali labda mtu mmoja mmoja ila kama nch ni ngumu sana.
Diamond keshaona anaonewa na alijua kitachotokea leo.
Kiba na timu yake watafurahi ila hawatafika mbali.
Barnaba anajua tunga nyimbo, Bella pia ila ndo ushabiki. Yaani watanzania wameingiza siasa hadi huku

Watanzania wengi ni kama makondoo mkuu.. Wakiambiwa pita hivi wote wanapita humo humo
 
Joh makini anashindaje hizi Tuzo??!!?

Huyo Joh Makini ni kwasababu ya 2.
1.Meneja wa TBL ni Mchagga,2.Arusha inaonekana wana kunywa sana Bia.3.ni Rafiki yake hakuna ambae hajui Hilo,Huyo JOH Makini jamani??????zero kabisa!
Anyway wao ndo wameandaa na wana influence nani ashinde Kaka!
Ndo Maana tuzo zimepoa sanaaaa
 
Back
Top Bottom