Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

aiseee ktma wanacheza na akili zetu, yaani hapa hakuna cha kura kuamuwa wala nini, benchi la ufundi la ktma limekaa chini likaamua kubalance, madhara yake sasa, wanakosa wanaostahili wanapewa wakupewa.
 
Jokate kavaa nini jamaniii? Haya bwana.
 
Diamond kasawazisha

Huu ushabiki wenu huu....Unaboa sana...

Ile ya Mwana FA na Ali Kiba ilikuwa ni Best Collaboration...Kwamba wote FA na Ali K walikuwa wanashindania hiyo Tuzo....

Hii ya Prof J ni Wimbo bora wa Hip Hop....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…