Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

aiseee ktma wanacheza na akili zetu, yaani hapa hakuna cha kura kuamuwa wala nini, benchi la ufundi la ktma limekaa chini likaamua kubalance, madhara yake sasa, wanakosa wanaostahili wanapewa wakupewa.

Kwa mara ya kwanza naungana na wewe...
Haya ngoja tuone mwisho wake bwana.
 
Jamani Nuhu na shilole vipi ?????
H Baba na h mama nao wataanza tuzo zao
 
Bele 9 asiache mziki hakika kajitahidi, aongeze bidii
 
Back
Top Bottom