Duu Fid ndio basi tena au kwa kuwa aliwapa makavu basata kwamba waliiba idea ya marehemu cool j mtoto wa dandu?
Nani kama mama wimbo wa taifa hata tuzo gaijapata wamama vipi jaman hamjampigia kura.
Huyu jamaa mshika mic yupo kama robot
Wakuryaa juu.
hv nyimbo bora ya mwaka nlifkr ni nani kama mama ya bela kumbe huo ushuzi wa ksng ptu
Yaani ni mwana tuu lakin cheki anavyokimbiza nayo
Wakuryaa juu.
Tuzo zimejaa uswahili
Kiba hizo nafasi zote kaingia kwa wimbo mmoja tu Mwana daresalam.?