bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Nimebadilisha chanel now naangalia nat geo gold.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hv nyimbo bora ya mwaka nlifkr ni nani kama mama ya bela kumbe huo ushuzi wa ksng ptu
Anajua kwa wimbo mmoja.?
Hahah hoja yako haina mashiko. Sio sababu hyo sababu naijua
Hahahahaaa, ngoja niweke rekodi sawa mkuu.
Hapo ni 4-3.
Namaanisha na walizoshirikiswa.
Le mutuz alisema.
Kupiga kura Diamond Platnumz kategori 3, vanessa 1 ingia kwa link
http://mama.mtv.com/voting/
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
Is it making sence kweli mwana uwe wimbo wa mwaka uifunike mama....mhh namashaka
Toeni unafki wenu hapa.