Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Joh Makin yupo vizuri ila kuna maeneo yalistahili kwenda kwa FID Q
 
Oyoooooo alafu wajee watu na vitambi vyao kama mimba za ngedere waseme #king kabebwaa nawanyea usoni,,,,, waiter waiterrrrrrrrrrrr ongezaaa kama tulivyoo uwiiiiiiii,,,,,,bby una bahati leo haupo getoo ungekula bao nne safiiiiiiii za afyaaa na kunizalia juu maaaaaaaaa..........eeeee
 
Is it making sence kweli mwana uwe wimbo wa mwaka uifunike mama....mhh namashaka
 
jamani jamani, kwa hiyo ktma inataka kuwaambiwa Watanzania NANI KAMA MAMA YA BELLA haipati tuzo?? kama huu wimbo sio wimbo bora wa mwaka basi sawa dah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…