Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Hawa jamaa wa Red carpet wa Clouds ni futuhi tupu..
 
Clouds watangazaji wake wanaboa sana red carpet wanatangaza utadhani wapo radion?! Mbwebwe nyingii
 
Huyu Ben Paul atakua anakula ngada kweli aisee...
 
Hahahahahah.. we najua nilipokukuna, ngoja nifike kwa Dobe wa Gama pale Fb nipoze kidogo kisha nirudi na full stimu..!!

BACK TANGANYIKA

Kabisa, umenikuna kwelikweli...
Haya tunakusubiri
 
Hapa Leo ni ali kiba na ben paul. Huyu mkongomani mwenye pea 200 za viatu aende kinshasa akavae viatu.
 
Kimanjaro awards sipati raha sauti hakuna vipaza sauti vinakoroma. Kina tatizo gani clouds wanashindwa kurekebisha jamani?
 
Ni upuuzi kufikiri kiba atapata tuzo zaidi ya 2, ni uwehu kabisa.

hivi ali kiba utamfananisha na mwanamuziki gani kwenye hizi tuzo.inaelekea hujuwi muziki bwanamdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…