Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Hivi hii ya ngapi jamani maana hata nimesahau ya ngapi.....
Hii tulitegemea ila si mbaya kwa kupata 2
 
Le mutuz huko aliko anazimia zimia tu,kesho ataharisha,
 
Tatizo kura

Natamani niwape taarifa jinsi

Fans Wa alikiba walivyokua wapo tayari kupora cmu kumpigia msanii wao
 
haya bana, tulitabiri lakini uhuni huu, wa MWANA.
 
Oyooooooooooooooooo! Am speechless kwakweli.
 
Diamond kanyimwa kwa sababu watu hawajui mziki vizuri. Wao ni timu tu....
Yaani wanakuwa kama mashabiki wa Arsenal hawachukui makombe ila kelele sana

Poleeee sana mkuu kubali tu yaisheee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…