Jamaa kabadilisha jina sikuhizi anaitwa Caitlin Jenner
Duh le mutuz ulisema
haya kushinda kwa come back na mwimbo mmoja tuone basi atakazotoa maana na huko usa kumedoda pesa ya video ya cheketua haiji alivyozani....
Usiku mwema
wasaniii masikini watabaki kuwa masikini kama hawafanyi kazi.
Kiba for real
Koh koh kok
Team local musician.
Mara ooh sitaki tuzo mara mnampigia kura...
Mara oooh
Teh teh teh Mtoto mzuri nije kukubembeleza au??
Bora niangalie Copa America tu.
Hawa washaanza zingua sasa yaani KTMA yangu ya kwanza kuangalia nayo inazingua hivi.
Diamond usishiriki tena