Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

dah leo kawa fatma hassan hemedi kweli huyu dada badala ya fetty
 
Hata nyie mlipoiba mwaka jana za barnaba na belle 9 watu wengi walihoji ila.mkasepa nazo. Mkaiba tena channel o makundi mbalimbali yakapinga hasa kule mnakowekeza makolabo. Leo wasanii wamesema hapana lazima kugawana. Leo hamchakachui ng'o

* We tulia uone Kiba anatoka kapa leo, hamna kubebana leo
 
nadhani ni TV yenyewe maana mie natumia unlimited lakini hakuna sauti na picha zinascratch pia
Live stream yao sasa imeanza kuonyesha,link ipo kwa milard ayo.kila kitu kipo clear
 
Back
Top Bottom