Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Huyu mtangazaji wa kike ni nani?? Mbona yupo kama zoba vile?? Au kalazimishwa
 
hata mi namshangaa alivyoganda kama sanam,angekua gigy money weee angezunguka jukwaa lotee na kujibinuaa,ye angejiamini tu

Tungekomaje sasa? Bora tu hajawa yeye.
 
yamoto band hawajaja.... All Diamond affiliates wanazipotezea hizi tunzo.....
 
Chezea wacongoman FM academia,watoto saba mikoa tofauti.chezea mzee wa Gwasuma
 
Yaan huyu wa fm academia mpaka Leo haongeagi vizuri kiswahili mfyuuuu
 
Back
Top Bottom