Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Uwiiiiiiiii! Nakufaaaaaaaaa.hizo ni salamu kwa mtaaa wa pili.
Asante ali kiba na fans wenzangu wooote!
 
Wimbo bora wa kushirikiana...
Kiboko yangu Mwana FA ft Alikiba..
 
baraka hiyo tuzo ni yake hilo hata haliumizi kichwa
 
Naona watu wengi wamepiga kura kishabiki badala ya kupiga kwa mziki mzuri
 
Oyooooooooo, wallah nimevunja glass niliyokua nanywea juice.....
Wapi mtaa wa piliiiii?
 
Naona kama hayupo comfortable jamani, sijui kisa kavaa gauni lol. Ila ametulia mnoo compared na anavyokuwa kwenye radio. Yani kasimama tu, hata ha-move

nafikiri hakufanya maandalizi ya kutosha na gauni.....
 
Back
Top Bottom