Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Le Big Show alishachafua hali ya hewa tangu jana kuwa majaji wa KTMA watatu kati ya 6 ni fans wa Kiba
 
Natumaini washindi watatuonyesha ni washindi kwa kikazi pia.

Sio tuzo kukaa kujaa vumbi na kukopa wanakopa, kufanganya wanasafiri first class kwa kuomba wapige picha, kujidai wakati wanajijua hawana kitu.

Tunasubiria kuona kazi zao wakionyesha wamestahili wanayotozwa.

Mwisho wa siku sio tuzo ni maisha na kazi na PESA unaingiza.
 
Back
Top Bottom