mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Kaka hili bonge nyanya le mutuz sijawahi lichukulia serious hata siku moja,Umewahi kumchukulia huyo jamaa seriously?
Jitu gani lina miaka 65 bado linajidai linakula ujana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka hili bonge nyanya le mutuz sijawahi lichukulia serious hata siku moja,Umewahi kumchukulia huyo jamaa seriously?
Cjawahi kumchukia alikiba, nmchukie ili inisaidie nin kwenye maisha yangu???
Nasikilza mzk wake toka diamond hajatoka, ila diamond ka'fight mpk katoka kimataifa, yey still yupo palepale, namm co mnafik, I support the best..
Mstar wa mwsho umeandika nn, au ndo najibishana na viroba apa
Naona wanatangaza jezi mpya Mkuu, daah Ben Pol alikuwa anacheza na 40mil steginihao wametumwa na malinzi
Yaani nimekasirika wwe, halafu nimelive stream kameniuma kweli kabundle kangu,Hawajiamini wanaogopana kukutana ukumbini yaani ovyooo kabisa
Vanesa deserves it. 100 percent.
Sio kwa kumpambanisha na jide
Huo ndo uchawi wenyewe wanigeria wanampigia Davido badala watanzania mumpigie mtanzania mwenzenu eti mnajifanya mnamkomoa
Mondi sio msanii wa kwanza kutoka kimataifa, walianza kina ay na jaydee. Kiba katoa nyimbo hapa nyumbani tumeupenda tatizo ni nini kwa nini mnalazimisha makolabo na.wanigeria ili atoke?? Mondi kaamua kutoka kimataifa, good for him ila msimlazimishe kiba kutoka kwa mgongo wa davido
HiHaters
Yaani nimekasirika wwe, halafu nimelive stream kameniuma kweli kabundle kangu,
Ssa sijui wameogopa hizo timu ushuzi zao kwamba wakitoka na tuzo chache itakuwa aibu,
Yaani Bongo, tupo nyuma kwenye kila kitu,
Ni kweli binamu yaani Jide hakustahili kuwa na Vanessa kabisa
warumi jide hakustahli hata kuwa nominated this KTMA season,ni huruma tu. Hamna alichofanya.
Wake up!
Ninyi machoko mkipumliwa tu akili zinahamia matakoni.
Duh wabongo tuna vichwa vigumu kha!!! Yaani mwaka 2014/15 unasema Jide ni bora zaidi ya Vanessa? Jide wa sasa hv c yule wa zamani hebu jaribuni kubadilikaMtumbuizaji bora wa kike - Vannesa mdee, muimbaji bora wa kike - Vannesa mdee... bado vanesa hajafikia kiwango cha kuwa bora kuliko lady jaydee, japokuwa changamoto ni muhimu lakini hapana aiseeh, jide is the best
Una uwezo mdogo wa kufikiri.. Sorry.
Duh wabongo tuna vichwa vigumu kha!!! Yaani mwaka 2014/15 unasema Jide ni bora zaidi ya Vanessa? Jide wa sasa hv c yule wa zamani hebu jaribuni kubadilika