Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Excel ameokoka,asingekubali kumfanya.Angekupa nafasi ya kumfanya ungekubali??
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Excel ameokoka,asingekubali kumfanya.Angekupa nafasi ya kumfanya ungekubali??
Excel ameokoka,asingekubali kumfanya.
Haaaaaaa mie uwanjani kwangu sitaki njumu.. Uko tayari...
Huyo faiza ni nani? Au mmbongo movie?
Hivi hana wazazi?
Usipime kina cha maji kwa kukitizama kwa macho Excel
Time will tell.. Acha le tamkoz aendelee kuwajaza ujinga. Wakishaona wanashindwa ndio wanaponda tuzo.. Wakishinda aaa swafiii.
Tuzo za watu waliponda mnooo.. Oo BASATA wameruhusu tuzo za kushindanisha bila kutizama utaalamu na bla blaaaa nyingi tu.. Haya na hizi zenye sehemu za utaalamu je?
Waendelee na dharau, halafu watapigiwa kura huko international. Nyumbani ni nyumbani, awali ni awali hakuna awali mbovu, usiache mbachao kwa msala upitao.
Faiza anafanya makusudi ili kupata tension kwa watu au? Siku ile all white party alikuja na Shati tu.Leo kaona isiwe tabu akajitupia vazi hili
View attachment 259953
Mashabiki ni kila kitu na wanahitaji kuheshimiwa bila ya mashabiki hata uimbe kama malaika hauwezi kufika popote na hakika wakikupandisha leo wanaweza kukushusha kesho kirahisi kama kugeuza chapati nimefurahi kua mashabiki wametoa somo zuri leo na wakae wakijua waliomfikisha Diamond hapo alipo ni hawa mashabiki wa ndani ni upuuzi wa timu ya Diamond kuona tunzo za nyumbani hazina maana eti ashakua wa kimataifa na huu ni mwanzo hakika kuna dalili na za nje akaishia kua nominated tu sasa ni muda wa yeye kua na heshima na apunguze uswahili uliopitiliza kuna sehemu dogo anakosea na leo kanyooshwa vizuri hawezi kuacha kuomba kura za KTMA kibwege alafu apewe na alivyo ----- zile za MAMA kaziombea kura anasahau wapiga kura ni hawa hawa wabongo nasubiri kusikia akitangaza kujitoa KTMA ili ajizike rasmi.
Aliyekua mke wa Mbunge wa Mbeya Mh Sugu.....
Hivi hana wazazi?