johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ninamskiliza hapa jamaa anaongeaongea tu simuelewi mifano miingi isiyoendana na anachoulizwa.
Binadamu si watu!Nadhani ameshafanya kipindi tayari, kinachorushwa usiku ni recorded. Hata hivyo sioni kama atakuwa na jipya zaidi ya nongwa kwa cdm, na chuki yake dhidi ya Mbowe.