Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye mahojiano kati ya Chief Odemba na Peter Msigwa kwenye kipindi cha Medani za Siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..mara nyingi, interview inakuwa nzuri, au mbaya, kutokana na weledi wa muongoza kipindi.

..Chief Odemba anaweza kumuuliza Msigwa maswali ambayo hayana uhusiano na uhasama wake na Mbowe.

..inaweza ikawa interview ya kuelimisha, ila inategemea na maswali ambayo Odemba ameandaa.
 
Kwa hivyo miaka yote ulikuwa ni mjinga? Swali zuri Sana.
 
Viongozi wa ccm hawatakagi midahalo
Umuite kuingozi mkuu kwenye mdahalo,utaambiwa hawezi kuja maana yeye ni mtu mzito sana

Ova
Tume huru ya uchaguzi ikaangalie hilo jambo. Ipo siku tutaletewa kiongozi hawezi kujenga na kutetea hoja!
 
Chief Odemba: Mchungaji Msigwa kwahiyo unakiri umekuwa Mjinga kwa miaka yote?

Hili Swali linaingia kwenye kumbukumbu ya maswali Bora kabisa kuwahi kuulizwa Kiongozi wa Chama cha Siasa

Nawatakia Dominica Njema 🌹🌹
 
Huyo Msigwa atanyofolewa legacy zote alizowahi kuwa nazo. Itafika mahala watsmtaka awe anaongozana na Mwijako au Doto Magari. Sasa hivi hata nuru usoni imeanza kupungua
 
Yaani Msigwa unasema Freeman Mbowe leadership yake imefeli?

Hivi leadership ya Freeman Mbowe ingekuwa imefeli CHADEMA ingekuwa hapo ilipo leo?

Ungekuwa unapiga kelele hivyo kwa mtu ambaye amefeli, amekiua chama na asiye na faida? Really?

Ungeamua kujiunga na CCM ili kuwasaidia kupambana na Freeman Mbowe?

No perfect mind person understands you Mr Msigwa!!
 
Odemba kuna mahojiano alifanya na yule mzee wa ubwabwa inafurahisha halafu inasikitisha.
Mzee wa ubwabwa alibanwa maswali na yeye alifunguka kweli kweli kwamba ccm wanawapaga hela wakiitwa kwenye vikao.
 
Mzee wa ubwabwa hatakagi stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…