Yaliyojiri kwenye mechi ya Yanga SC vs Ndanda FC

... kumbe we ni wale wa bil 1 halafu mnatafuta droo! Sawa wahenga asante
Inaelekea timu nyingi zinaiogopa sana Simba kiasi kwamba zikitoa sare inakuwa kama vile maajabu fulani. Nimefuatilia sare za Simba, kuanzia ile Yanga ilipofungwa kwa penati ngao ya hisani, kisha Azam na then juzi Mbao. Yaani wanaopata sare wanafurahi kwa kutaja bajeti ya usajili ya Simba! Jamani mjiamini, sio sare tu, hata kushinda mnaweza pia!
 
Sijasikia kelele mtaani...huenda Yanga wameshinda na mpira umeshaisha!
 
Tshitshimbi vipi, bado ana moto mkali wa kuotea mbali?
 
Timu ya makelele ni ile ya kutumia billion moja kusajili kwa ajili ya kutafuta droo.

Yanga ushindi ni jambo la kawaida sana halihitaji kelele.
Kweli kabisa aiss...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…