Jana nilisikia Jamaa moja akisema kwenye uzinduzi ya SGR ya Kenya akitamka kuwa bila Kenya hakuna Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tamko hili liliniudhi sana.
Alipoulizwa kuwa mbona SGR ya Kenya imegharimu fedha nyingi kuliko ile ya Ethiopia ili hali umbali wa SGR ya Ethiopia ni mbali kuliko ya Kenya na imegharimu fedha kidogo.
Jamaa akakwepa hilo swali la ufisadi akarukia ooh unajua reli hii italeta ajira nyingi, muda wa safari utakuwa mfupi, itabeba tani nyingi ukilinganisha na malori n.k. Hivi kweli bila Kenya hakuna Jumuiya ya Afrika Mashariki?.
Ethiopia ipi? ile moja tu? 😀😀 wacha vituko bwana...Tanzania haiwezi ika compete na Ethiopia...Kenya iko hapo kwa kusudi hilo...Tanzania jaribuni Ugnda, Rwanda na Zambia ambao ni LDC members wenzenu...eti Ethiopia...dah! mazingaombwe haya! nikama kuku anataka kupuruka pamoja na mwewe kule kwenye mawingu! jamaa umefurahisha kwelinadhani hatupaswi kuilinganisha the beautful coming hit train yetu watz na gari moshi lao...washindani wetu watakuwa ethiopia na sii wao tutakuwa tunawaonea.....
Nimepata wakati mgumu kidogo kuhusisha kichwa na habari na sentensi ya mwisho kabisa!Jana nilisikia Jamaa moja akisema kwenye uzinduzi ya SGR ya Kenya akitamka kuwa bila Kenya hakuna Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tamko hili liliniudhi sana.
Alipoulizwa kuwa mbona SGR ya Kenya imegharimu fedha nyingi kuliko ile ya Ethiopia ili hali umbali wa SGR ya Ethiopia ni mbali kuliko ya Kenya na imegharimu fedha kidogo.
Jamaa akakwepa hilo swali la ufisadi akarukia ooh unajua reli hii italeta ajira nyingi, muda wa safari utakuwa mfupi, itabeba tani nyingi ukilinganisha na malori n.k. Hivi kweli bila Kenya hakuna Jumuiya ya Afrika Mashariki?.
Wewe ulishakuwa obsessed na neno LDC, hujui kuna vitu vingi sana ambavyo viko Tanzania na Kenya havipo.Ethiopia gani? ile moja tu? hehe wacha ujinga bwana...Tanzania haiwezi ika compete na Ethiopia...Kenya iko hapo kwa kusudi hilo...Tanzania pengine Ugnda, Rwanda na Zambia...LDC wenzenu...eti Ethiopia...dah! mazingaobwe haya!
Yaani kulinganisha tu na Ethiopia tayar unawashwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ulishakuwa obsessed na neno LDC, hujui kuna vitu vingi sana ambavyo viko Tanzania na Kenya havipo.
ni jambo la kuchekesha kweli..eti Tanzania kulinganisha na Ethiopia..uchumi wa 78B na uchumi wa 45BYaani kulinganisha tu na Ethiopia tayar unawashwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ulishakuwa obsessed na neno LDC, hujui kuna vitu vingi sana ambavyo viko Tanzania na Kenya havipo.
Tumia akili kidogo, kulinganisha nchi hatulinganishi majina ila tunajikita kwenye aspects kadhaa! Wapi umeona nikiongelea kuhusu GDP?ni jambo la kuchekesha kweli..eti Tanzania kulinganisha na Ethiopia..uchumi wa 78B na uchumi wa 45Bnchi backward kama tz... njoo Churchill uje utuchekeshe
punguza povu kidogo nduguTumia akili kidogo, kulinganisha nchi hatulinganishi majina ila tunajikita kwenye aspects kadhaa! Wapi umeona nikiongelea kuhusu GDP?
Unapwaya sana kwa hii tabia yako ya kukurupuka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi sio mtu wa calibre kama yako kijana! Hakuna kipya hapo chini ya jua cha kunishtua!na utaumwa mpaka utokwe na povu...LDC hoyeee!!!
Ndo maana nakwambia akili yako bado sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]punguza povu kidogo ndugu...hata tusipozingatia GDP, bado huwezi ukalinganisha nchi hizi mbili...Ethiopia wako level yao hata wachana na GDP tuje tu kwa airline, usidhani Ethipian airways wanatumia Bombadier