Yaliyojiri leo kwenye uchafuzi katika kile kinachoitwa uchaguzi wa leo, TANGANYIKA DIASPORA isaidie nchi yetu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.

Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi

Kutokea hapa watawaua wapinzani sana, watawafunga sana and the like

Unaona kabisa kuwa serikali na CCM wako determined so as to maintain power

How? That is a big debate... Maria space mnaweza kupeana mawazo as long as you are in a lawful truck
 
Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.

Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi

Kutokea hapa watawaua wapinzani sana, watawafunga sana and the like

Unaona kabisa kuwa serikali na CCM wako determined KUUA so as to maintain power

Si mlimsingizia Dr. JPM?
 
acha upotoshaji gentleman,

CCM wako determined kuongoza nchi na kuwaletea maendeleo wananchi huko waliko kote nchini..

hakuna Puppets wala, sijua Diaspora na hao washirikina wengine ulowataja, wanaweza kupata nafasi ya kuvuruga, umoja, amani, utulivu na utangamano wa waTanzania kwa namna yoyote ile..

there is no space or room for those nonsense within borders of our beautiful country :NoGodNo:
 
Kuongea ukweli ndio kuvuruga Amani😁? There will be a time of change in future ambapo hakutakuwa na msalia mtume! Even idiots like you will perish in a blink of an eye.
 
Hakika huu uchafuzi umewaacha uchi wote waliopanga na kutekeleza. Hakuna namna yoyote wataaminika wote. Wala Mchengerwa asinyooshewe vidole maana yupo kwenye mfumo na yeye anatekeleza maagizo na maelekezo ya mfumo.
 
Madhara ya kutengeneza kizaz cha waoga waoga unakuja kuwa na changamoto ya kuwa na watu wanaofikirisha taifa vizuri.....Enewei ngoja kasha lijae kwanza.
 
Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.

Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi

Kutokea hapa watawaua wapinzani sana, watawafunga sana and the like

Unaona kabisa kuwa serikali na CCM wako determined KUUA so as to maintain power

How? That is a big debate... Maria space mnaweza kupeana mawazo as long as you are in a lawful truck
Wanaoleta mabadiliko ni wananchi wenyewe. Hakuna ''machine'' inayoitwa diaspora au upinzani au wanaharakati watafanya hiyo kazi kwa niaba ya wananchi. Wananchi wa Tanzania hawajitambui. Wanadhani shida wanazopata ni haki yao.
 
Wapinzani walifanya vizuri kutosusia Uchaguzi maana vituko vyote vya uchafuzi visingeonekana. Ingawa vifo vimetokea lakini vilitokea hata bila uchaguzi kama alivyouawa Ali Kibao na kutekwa akina Soka na wenzake.
 
acha upotoshaji gentleman,

CCM wako determined kuongoza nchi na kuwaletea maendeleo wananchi huko waliko kote nchini..

hakuna Puppets wala, sijua Diaspora na hao washirikina wengine ulowataja, wanaweza kupata nafasi ya kuvuruga, umoja, amani, utulivu na utangamano wa waTanzania kwa namna yoyote ile..

there is no space or room for those nonsense within borders of our beautiful country :NoGodNo:
We mpiga pambio acha vichekesho, maendeleo gani zaidi ya kujaza matumbo yenu tu. Leo yamefanyika tena yale ya 2015 na 2020
 
Kuongea ukweli ndio kuvuruga Amani😁? There will be a time of change in future ambapo hakutakuwa na msalia mtume! Even idiots like you will perish in a blink of an eye.
Gentleman, relax,
this is our time, and the future of this beautiful country, belongs to us all as a Nation.

CCM is our trusted and determined development architecture, currently and in future.

no rooms for puppets and mercenaries in Tz :pulpTRAVOLTA:
 
We mpiga pambio acha vichekesho, maendeleo gani zaidi ya kujaza matumbo yenu tu. Leo yamefanyika tena yale ya 2015 na 2020
Leo umefanyika uchaguzi wa kuhistoria Tanzania,

Ni uchaguzi wa amani, huru, wa haki na wa wazi tangu taifa letu lipate uhuru.

CCM imeendelea kubeba dhamana ya nchi kwa uaminifu mkubwa sana.

Serikali Sikivu ya ccm iko imara na madhubuti kuliongoza taifa letu kwa amani.

Mungu Ibariki Tanzania :NoGodNo:
 
Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.

Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi

Kutokea hapa watawaua wapinzani sana, watawafunga sana and the like

Unaona kabisa kuwa serikali na CCM wako determined KUUA so as to maintain power

How? That is a big debate... Maria space mnaweza kupeana mawazo as long as you are in a lawful truck
Well said
 
Back
Top Bottom