Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu shetani huwa anajiona yupo salama hapo CCMWe mpiga pambio acha vichekesho, maendeleo gani zaidi ya kujaza matumbo yenu tu. Leo yamefanyika tena yale ya 2015 na 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu shetani huwa anajiona yupo salama hapo CCMWe mpiga pambio acha vichekesho, maendeleo gani zaidi ya kujaza matumbo yenu tu. Leo yamefanyika tena yale ya 2015 na 2020
Sasa hao ma uji uji wa huko watakuwa na uchungu kuliko sisi tulioko Tandahimba? 😂😂😂😂Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.
Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi
Kutokea hapa watawaua wapinzani sana, watawafunga sana and the like
Unaona kabisa kuwa serikali na CCM wako determined KUUA so as to maintain power
How? That is a big debate... Maria space mnaweza kupeana mawazo as long as you are in a lawful truck
Ibilisi wa kijani mwisho wao utakuwa mbaya sanaHuyu shetani huwa anajiona yupo salama hapo CCM
Does not change the course 😬Nimezidi kukichukia chama cha majambazi
Kwani ikoje hata Sasa ? 😄😄Mi naaona waamua tu kua na chama kimoja watawale wao tu. Hii mambo ya vyama vingi hawako tayari kuachia power.
🚮🚮Si mlimsingizia Dr. JPM?
Future ndio lini? 🤪🤪Kuongea ukweli ndio kuvuruga Amani😁? There will be a time of change in future ambapo hakutakuwa na msalia mtume! Even idiots like you will perish in a blink of an eye.
Kwani hamjaenda kulinda kura? 😂😂Ila kwanini serikali inatumia gharama kubwa kufanya uchaguzi.
Da utumbo umeofanyika leo MUNGU NI HURUMIE.
Kama hata maendeleo una kana basi wewe ni zaidi ya nyumbu pengine ni zumbu kuku kabisa.We mpiga pambio acha vichekesho, maendeleo gani zaidi ya kujaza matumbo yenu tu. Leo yamefanyika tena yale ya 2015 na 2020
Unaomba msaada kwa diaspora ambao wenyewe HAWAJITAMBUI ili iweje?Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.
Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi
Kutokea hapa watawaua wapinzani sana, watawafunga sana and the like
Unaona kabisa kuwa serikali na CCM wako determined KUUA so as to maintain power
How? That is a big debate... Maria space mnaweza kupeana mawazo as long as you are in a lawful truck
ALIWEKA PRECEDENT, THAT WAS VERY WRONG!Si mlimsingizia Dr. JPM?
Si mlimsingizia Dr. JPM?
Now who is supposedly a puppet or mercenary? From my understanding we only have the Ruling and opposition parties.Gentleman, relax,
this is our time, and the future of this beautiful country, belongs to us all as a Nation.
CCM is our trusted and determined development architecture, currently and in future.
no rooms for puppets and mercenaries in Tz![]()
tuendelee kububujikwa na machoziLeo umefanyika uchaguzi wa kuhistoria Tanzania,
Ni uchaguzi wa amani, huru, wa haki na wa wazi tangu taifa letu lipate uhuru.
CCM imeendelea kubeba dhamana ya nchi kwa uaminifu mkubwa sana.
Serikali Sikivu ya ccm iko imara na madhubuti kuliongoza taifa letu kwa amani.
Mungu Ibariki Tanzania![]()
Wanatakiwa wafe hao wajingaIbilisi wa kijani mwisho wao utakuwa mbaya sana