Si mlimsingizia Dr. JPM?Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.
Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi
Kutokea hapa watawaua wapinzani sana, watawafunga sana and the like
Unaona kabisa kuwa serikali na CCM wako determined KUUA so as to maintain power
How? That is a big debate... Maria space mnaweza kupeana mawazo as long as you are in a lawful truck
acha upotoshaji gentleman,Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.
Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi
Kutokea hapa watawaua wapinzani sana, watawafunga sana and the like
Unaona kabisa kuwa serikali na CCM wako determined KUUA so as to maintain power
How? That is a big debate... Maria space mnaweza kupeana mawazo as long as you are in a lawful truck
Kuongea ukweli ndio kuvuruga Amani😁? There will be a time of change in future ambapo hakutakuwa na msalia mtume! Even idiots like you will perish in a blink of an eye.acha upotoshaji gentleman,
CCM wako determined kuongoza nchi na kuwaletea maendeleo wananchi huko waliko kote nchini..
hakuna Puppets wala, sijua Diaspora na hao washirikina wengine ulowataja, wanaweza kupata nafasi ya kuvuruga, umoja, amani, utulivu na utangamano wa waTanzania kwa namna yoyote ile..
there is no space or room for those nonsense within borders of our beautiful country
Hakika huu uchafuzi umewaacha uchi wote waliopanga na kutekeleza. Hakuna namna yoyote wataaminika wote. Wala Mchengerwa asinyooshewe vidole maana yupo kwenye mfumo na yeye anatekeleza maagizo na maelekezo ya mfumo.Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.
Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi
Kutokea hapa watawaua wapinzani sana, watawafunga sana and the like
Unaona kabisa kuwa serikali na CCM wako determined KUUA so as to maintain power
How? That is a big debate... Maria space mnaweza kupeana mawazo as long as you are in a lawful truck
Wanaoleta mabadiliko ni wananchi wenyewe. Hakuna ''machine'' inayoitwa diaspora au upinzani au wanaharakati watafanya hiyo kazi kwa niaba ya wananchi. Wananchi wa Tanzania hawajitambui. Wanadhani shida wanazopata ni haki yao.Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.
Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi
Kutokea hapa watawaua wapinzani sana, watawafunga sana and the like
Unaona kabisa kuwa serikali na CCM wako determined KUUA so as to maintain power
How? That is a big debate... Maria space mnaweza kupeana mawazo as long as you are in a lawful truck
We mpiga pambio acha vichekesho, maendeleo gani zaidi ya kujaza matumbo yenu tu. Leo yamefanyika tena yale ya 2015 na 2020acha upotoshaji gentleman,
CCM wako determined kuongoza nchi na kuwaletea maendeleo wananchi huko waliko kote nchini..
hakuna Puppets wala, sijua Diaspora na hao washirikina wengine ulowataja, wanaweza kupata nafasi ya kuvuruga, umoja, amani, utulivu na utangamano wa waTanzania kwa namna yoyote ile..
there is no space or room for those nonsense within borders of our beautiful country
Gentleman, relax,Kuongea ukweli ndio kuvuruga Amani😁? There will be a time of change in future ambapo hakutakuwa na msalia mtume! Even idiots like you will perish in a blink of an eye.
yule jambazi ndo kasimika huu mfumo mbovu kwasasa ni mwendelezo tuSi mlimsingizia Dr. JPM?
Leo umefanyika uchaguzi wa kuhistoria Tanzania,We mpiga pambio acha vichekesho, maendeleo gani zaidi ya kujaza matumbo yenu tu. Leo yamefanyika tena yale ya 2015 na 2020
Well saidKwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.