Yaliyojiri leo kwenye uchafuzi katika kile kinachoitwa uchaguzi wa leo, TANGANYIKA DIASPORA isaidie nchi yetu

Sasa hao ma uji uji wa huko watakuwa na uchungu kuliko sisi tulioko Tandahimba? 😂😂😂😂

Chadema mnatia huruma sana 😁😁
 
Unaomba msaada kwa diaspora ambao wenyewe HAWAJITAMBUI ili iweje?
 
Sisi tusioshabikia siasa tumewaachia ccm watawale lkn kuua watu kwaajili tu ya kushika dola si jambo la busara. Hakuna aliezaliwa atawale milele ila ccm hamtaki kuachia raia waamue viongozi wanaowataka. Shenzi zenu na mwenyekiti wenu bibi wa kizimkazi aaargh.
 
Gentleman, relax,
this is our time, and the future of this beautiful country, belongs to us all as a Nation.

CCM is our trusted and determined development architecture, currently and in future.

no rooms for puppets and mercenaries in Tz
Now who is supposedly a puppet or mercenary? From my understanding we only have the Ruling and opposition parties.
 
tuendelee kububujikwa na machozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…