Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Hii kauli ameitoa commentator wa Azam aliyepo uwanjani, unafuatilia kwa makini sana.Uwanja mwenyewe kama wa jamhuri
Simba kapata penaltiInabidi tufanye maombi makubwa mpaka saa hii takriban dk 60 Nkana 2 Simba 0.
Na wana matumbo mabovu... Sijui kama wataweza kuvila viporoNa viporo vinawasubiri hapa
Aaahhh ila tunafungwa tuHii kauli ameitoa commentator wa Azam aliyepo uwanjani, unafuatilia kwa makini sana.
Vv
Kikosi kipana (Simba) 1- 2 Red Devils of NkanaGuys ngap ngap now
Ikiwa kama hamtaruhusu goli la 3, matokeo ya 2-1 yatawafaa sana ingawa naona kama Nkana wana faida ya kuwa na nguvu ya misuli kuliko Simba.Aaahhh ila tunafungwa tu
Hao KCCA ni timu bora zaidi kuliko Nkana, Mtibwa wana kazi kubwa kuliko Simba.Mtibwa kashalishwa 2 - 0
Wako vzuri kwa kiasi chao ila draw ingependezaIkiwa kama hamtaruhusu goli la 3, matokeo ya 2-1 yatawafaa sana ingawa naona kama Nkana wana faida ya kuwa na nguvu ya misuli kuliko Simba.
Vv
Safi kabisaGoool Nkana 2 Simba 0
Hii nafasi ilikuwa ya Yanga hawa Mtibwa wamekwenda kujaza nafasi wasiyoimudu!Mtibwa kashalishwa 2 - 0