Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Angekuwa Chief Zahera hiyo haimpi shida, comeback ya hatari.Simba wafanye sub nyingine, wamwingize Dilunga ili kuongeza spidi ya Simba.
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa Chief Zahera hiyo haimpi shida, comeback ya hatari.Simba wafanye sub nyingine, wamwingize Dilunga ili kuongeza spidi ya Simba.
Vv
Tunawaambia kila siku timu yenu mbovu mnabisha I hope leo umekubaliSimba wamebanwa Sana hi gemu timi haitembei
Inabidi tufanye maombi makubwa mpaka saa hii takriban dk 60 Nkana 2 Simba 0.daah Leo niliota ndoto mbaya and nzuri pia
matokea ikawa kama ifuatavyo
Nkana 1-0simba
Nkana 1-1simba
Nkana 1-3simba
Okwi atakosa goli.la WAZi
kagere na okwi wata score
Simba baada ya kipindi cha kwanza atatafuta sare ya kutoka kufungana
Mpira dk 95 Tusubiri matokeo
Daah Simba bwanaSimba wanapata penati hapa