Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

daah Leo niliota ndoto mbaya and nzuri pia
matokea ikawa kama ifuatavyo
Nkana 1-0simba
Nkana 1-1simba
Nkana 1-3simba
Okwi atakosa goli.la WAZi
kagere na okwi wata score
Simba baada ya kipindi cha kwanza atatafuta sare ya kutoka kufungana

Mpira dk 95 Tusubiri matokeo
Inabidi tufanye maombi makubwa mpaka saa hii takriban dk 60 Nkana 2 Simba 0.
 
Back
Top Bottom