Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Haaaaaahaaaaa haya mahaba ss binafsi mm namkubali sana triple c ila leo kapotezwa!

Enzi hizo tulikuwa na Niyonzima.

Yeye anageuka kuwa Fabregas akicheza na Ruvu Shooting.

Ila akikutana na wenzake huko kimataifa anageuka kuwa Frimpong.
 
nyumbani ni nyumbani ndugu.
hata kukiwa na mechi Kali aliyepo home huwa ana pewa possibility kubwa ya kushinda compare na away.
then kwa timu kama nkana ilikuwa na uwezo mkubwa wa kushinda home.
simba wajipange walete heshima nyumbani

Mbona mbambane alikuwa Home na alifungwa 4.
 
nyumbani ni nyumbani ndugu.
hata kukiwa na mechi Kali aliyepo home huwa ana pewa possibility kubwa ya kushinda compare na away.
then kwa timu kama nkana ilikuwa na uwezo mkubwa wa kushinda home.
simba wajipange walete heshima nyumbani
Mkuu, endelea kuunga juhudi. Labda mtafika.
 
daah Leo niliota ndoto mbaya and nzuri pia
matokea ikawa kama ifuatavyo
Nkana 1-0simba
Nkana 1-1simba
Nkana 1-3simba
Okwi atakosa goli.la WAZi
kagere na okwi wata score
Simba baada ya kipindi cha kwanza atatafuta sare ya kutaka kufungana

Mpira dk 95 Tusubiri matokeo
We jamaaa ulikuwa una type au ulikuwa una andika
 
mechi ya marudiano ni lini tuone kitakachojili?
 
Haya ni mashindano ya home and away. Bado dakika 90.
Nkana hana jinsi hajawahi kupona kufungwa pungufu ya 3.
Alishafungwa 3-1 Dar na 3-0 Morogoro.Atakufa tu.Anayebisha aweke dau. Mimi naweka milioni 2.Tumkabidhi moderator. Umama wa maneno matupu uishe.
 
Back
Top Bottom