Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
nyumbani ni nyumbani ndugu.Na Nkana watakuwa wamelala usingizi?
Daaa haya majuha akili zinafanana. Huyo mtumwa hapo alivyotarajia ikawa sivyo mana jamaa Leo waliweza kumchezesha kwata hadi alitaka akatae jina lakeView attachment 969058
Majuha yanakufuru
Mbona vikombe vinagongana tena?Mbona mbambane alikuwa kwao na mlimfunga 4.
Haaaaaahaaaaa haya mahaba ss binafsi mm namkubali sana triple c ila leo kapotezwa!
Nkana akija Taifa Uwanja mzuri ule Simba atakufa hakika.
Huku Nkana wakiwa wakiwa wamesimama.simba niwape pongez wamejitahidi sanaa
hapo tunahitaji 1-0 tuingie makundi
nyumbani ni nyumbani ndugu.
hata kukiwa na mechi Kali aliyepo home huwa ana pewa possibility kubwa ya kushinda compare na away.
then kwa timu kama nkana ilikuwa na uwezo mkubwa wa kushinda home.
simba wajipange walete heshima nyumbani
Mechi ya marudiano mtakufa kikike?Simba wamekufa kiume kule Kitwe Zambia
2 _ 1 ni matokeo mazuri
Mkuu, endelea kuunga juhudi. Labda mtafika.nyumbani ni nyumbani ndugu.
hata kukiwa na mechi Kali aliyepo home huwa ana pewa possibility kubwa ya kushinda compare na away.
then kwa timu kama nkana ilikuwa na uwezo mkubwa wa kushinda home.
simba wajipange walete heshima nyumbani
We jamaaa ulikuwa una type au ulikuwa una andikadaah Leo niliota ndoto mbaya and nzuri pia
matokea ikawa kama ifuatavyo
Nkana 1-0simba
Nkana 1-1simba
Nkana 1-3simba
Okwi atakosa goli.la WAZi
kagere na okwi wata score
Simba baada ya kipindi cha kwanza atatafuta sare ya kutaka kufungana
Mpira dk 95 Tusubiri matokeo
[emoji23] [emoji23]We jamaaa ulikuwa una type au ulikuwa una andika
Utabir wako duh[emoji23] [emoji23]
una maana gani mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Utabir wako duh
mbona simba alikuwa home alifunga 4??
Mbona mbambane alikuwa Home na alifungwa 4.