Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umeniita mapemaaaa.
"MUNGU IBARIKI AFRIKA"
🙈🙈🙈🙈 Nkana ndugu yangu. 😁😁Eeenh upo team gani eti
😂😂😂 mapacha wa nje itakuwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huweziiii kuna vitu vingi mmefanana ujue mpaka nahisi wewe ni yeye
[emoji23][emoji23][emoji23] mapacha wa nje itakuwa.
Nitabirie basi leo mnashinda ngapi ndugu yangu?
Ukae mpaka mwisho. 💃💃💃💃Wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] kila la heri mnyama yangu mimi
😂😂😂😂 Wachaaaaa. Huko ugenini?Hahaha kweli mtakuwa mapacha wa nje sio kwa kufanana huku
Leo tunashinda 3 bila
Kila la kheri Nkana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wachaaaaa. Huko ugenini?
Hahahaha sio kwa mfanano huu ujue ukhuty sijui yuko apii aje kunitegulia hiki kitendawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umesahau juzi niliomba kuwa ndugu yako. Mie doto yule atakuwa Kurwa sababu nimemkuta humu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]