Bora umeniita mapemaaaa.
"MUNGU IBARIKI AFRIKA"
ππππ Nkana ndugu yangu. ππEeenh upo team gani eti
πππ mapacha wa nje itakuwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huweziiii kuna vitu vingi mmefanana ujue mpaka nahisi wewe ni yeye
[emoji23][emoji23][emoji23] mapacha wa nje itakuwa.
Nitabirie basi leo mnashinda ngapi ndugu yangu?
Ukae mpaka mwisho. ππππWouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] kila la heri mnyama yangu mimi
ππππ Wachaaaaa. Huko ugenini?Hahaha kweli mtakuwa mapacha wa nje sio kwa kufanana huku
Leo tunashinda 3 bila
Kila la kheri Nkana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wachaaaaa. Huko ugenini?
πππππ umesahau juzi niliomba kuwa ndugu yako. Mie doto yule atakuwa Kurwa sababu nimemkuta humu. ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe Hajar kwa nn lakini unanifanyia hivi anajuaga kuna mda siwezi kaa mpaka mwisho
Hahahaha sio kwa mfanano huu ujue ukhuty sijui yuko apii aje kunitegulia hiki kitendawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umesahau juzi niliomba kuwa ndugu yako. Mie doto yule atakuwa Kurwa sababu nimemkuta humu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]