[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni robo uwanja timu nzima ni Michama, mikia wanaye mmoja
Hata mie natumia laptop sijui inakuwaje,wakati ile mechi iliyopita dhidi ya mbabane ilikuwa livenataka niiangalie online through laptop nafanyaje msaada please.
Ila ukiisachi inakuletea live lakini ni audio tunataka niiangalie online through laptop nafanyaje msaada please.
Ni kweli itashinda njaa.Simba itashinda.
Nipo sana Mkuu. Bado goli mbili za NkanaUsije kukimbia uzi tu
Nkana itashindaSimba itashinda.
Nkana itashinda. Simba ikishinda nitakuwa nakugongea like kwenye kila uzi na comment yakoSimba itashinda.
Website gani!?Ila ukiisachi inakuletea live lakini ni audio tu
Yamekuwa hayo tena? Simba ilishawahi kula nne za NkanaIngekuwa Yanga hapa wangeshakuwa wamekula 4 bila
www.kujifariji.mbumbumbufc.co.tzIngekuwa Yanga hapa wangeshakuwa wamekula 4 bila
Ingekuwa Yanga hapa wangeshakuwa wamekula 4 bila
Ni kweli mkuu. Yanga hawana habari ya kupaka rangi. Nkana wangekuwa washapigwa 4GIngekuwa Yanga hapa wangeshakuwa wamekula 4 bila