Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi gemu ni physical Sana Sina hakika Kama kichuya ataweza maana hata kagere na miguvu yake wanampama na kudondoka
Labda itshinda njaaSimba itashinda.
Kwa bahati nzuri wanacheza simba leo. Nasikia mikia wanazungusha mikia tu humoYanga wangekuwa wameshakula 4 na beki ile ya yondan na ninja
Thubutu,kwa mpira huu jamaa hata wakicheza 8 Simba hashindiKiungo cha Simba kimekufa...wanacheza mavi mavi tuuu
Second half kocha inabid afanye sub ya mapema sanaaaaa
Kichuya akiingia,naiona kadi nyekundu kwa Nkana maana jamaa wanatumia nguvu balaaah
All in all,jamaa wanaongoza tu..ila so far sijaona mpira wao wa kutishaaa hata kidogo...
Hawa Nkana weupe saaana..Simba watafute goli la ugenini tuu..wakiweza wawapige kabisa uko uko
Mie ni Yanga damu.....ILAAAAH UZALENDO KWANZAAA!!!
Leo Chama wamembana Sana wanamkaba man to man
Thubutu,kwa mpira huu jamaa hata wakicheza 8 Simba hashindi