Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Hi gemu ni physical Sana Sina hakika Kama kichuya ataweza maana hata kagere na miguvu yake wanampama na kudondoka

Speed na mbwembwe za kichuya lazima jamaa wawe wanamchezea rafu sana

ndomana nikaseam Kichuya akiingia naiona kadi nyekundu kwa Nkana
 
Leo Chama wamembana Sana wanamkaba man to man
 
Hawa Azam TV wako hovyo sana, matangazo yanakatatika hovyo na ku-stack, ukiwapigia simu hawapokei. Very poor customer care. Yaani hawapitishi hata maandishi ya kutuambia kuna tatizo gani.

Vv
 
Mtangazaji amesema Chama amezoea kuhenyesha wenzake Leo anahenyeshwa yeye. Kwenye TV ninayoangalia Mimi ni kweli anahenyeshwa sijui huko kwenu wadau.
 
Kiungo cha Simba kimekufa...wanacheza mavi mavi tuuu

Second half kocha inabid afanye sub ya mapema sanaaaaa

Kichuya akiingia,naiona kadi nyekundu kwa Nkana maana jamaa wanatumia nguvu balaaah

All in all,jamaa wanaongoza tu..ila so far sijaona mpira wao wa kutishaaa hata kidogo...

Hawa Nkana weupe saaana..Simba watafute goli la ugenini tuu..wakiweza wawapige kabisa uko uko

Mie ni Yanga damu.....ILAAAAH UZALENDO KWANZAAA!!!
Thubutu,kwa mpira huu jamaa hata wakicheza 8 Simba hashindi
 
Back
Top Bottom