Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Nkana wanajitaidi kushambulia kwa kutumia nguvu nyingi
 
Mimi ni team Lipuli lakini kwa Leo uzalendo kwanza.
Simba piga hao huko huko kwao
 
Refa anaibeba Nkana hapa waziwazi faulo anaziona upande mmoja
 
Bocco yupo chini baada ya kupigwa mpira usoni
 
Back
Top Bottom