Sana sana ni Machi, 2022.Haitafika huko kote. Kwa mwendo huu wa fast track hata Dec. 2022 haitafika itakuwa imeisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana sana ni Machi, 2022.Haitafika huko kote. Kwa mwendo huu wa fast track hata Dec. 2022 haitafika itakuwa imeisha.
Mwenyezi Mungu awabariki!
Aliyeisumbua mahakama ni Kingai ambaye alifungua kesi ya ugaidi, halafu akaishia kutoa ushahidi wa kuharibika kwa gari njiani na kula nyama choma.Gaidi afungwe..anaichosha mahakama na mapingamizi ya kisiasa..judge umeona picture yakwmaba hao mashahidi upande wa magaidi wanaelekezwa mambo yakuja kuzungumza mahakamani..toka mwanzo nimesema hawa kazi yao nikuisumbua mahakama..wape kifungo chap na fimbo juu..
Mualifu ni mualifu tu hata dunia ipige kelele...ushahidi umenyooka hivyo alafu wanaleta bla bla mahakamani.
Mahakamani itanajisiwa mara ngapi? Mbona ilishakua najisi toka waanze kuteuliwa majaji wasio na vigezo?Jaji Mkuu asipo tazama hii kesi kwa umakini, Mahakama inaenda NAJISIWA WAZIWAZI.
Mawakili wa pande zote WANAMCHEZEA MH Jaji kama Mwanasesere, wanamyumbisha kwa sababu ya kutokuwa MAHILI amejikutana anapigwa kama mpira wa Kona. Mawakili ni maofisa wa Mahakama wanapaswa kuisiadia Mahakama kutoa maamuzi yenye haki.
Sasa kinachofanyika ni kuviziana na kumfanya JAJI MWANASESERE WAO! Jaji alikubali Kielelezo cha Upande wa Jamhuri kiingie kinyemela, maamuzi ya hovyo kuwahi tokea; leo kakutana na UPUUZI ule ule walio fanya Mawakili wa Serikali na Mawakili wa Utetezi wameurudia; wanaomba JAJI APOTOKE KAMA ALIVYO POTOKA MWANZO.... Mahakama inapelekwa wapi JAMANI!
Mheshimiwa Jaji Mkuu litazame hili, huyu Jaji wa Kesi ya Mbowe na Wenzake anatia DOA MHIMILI WA MAHAKAMA.
Tupinge, tuone Mimi na wewe aliyelaaniwa ni nani😀😀😀 huna akili wewe naona kma umejilaani wenyewe.
Ndio! Na wanakubali kwa mbwembwe kuwa chawa! yes I'm a chawa my boss name is.........Hivi ni kwanini masikini wengi wanawaza utumwa tu ?
Naambiwa siku hizi mnaitwa Chawa
Sibishani na mashoganamgonga mamayako hapa tena back
Huwa unakaa na kuvizia mahali ukisubiri kila siku kuweka maneno hayo hayo na kwa nafasi hiyo hiyo ya pili baada ya kuwekwa mada?Mungu wa mbinguni akubariki Nyendo kwa kuwa msikivu!
Ni asilimia 20 tu ya watanzania walipendekeza vyama vingi na hawa ni waelewa. Nyerere akakubaliana nao. Wanaotaka katiba mpya ni waelewa na wanaojua ukweli na ni wachache sana. Wenye uelewa lakini hawataki ni walafi na wanafiki.Mkuu, kumbuka hapa tulipofika leo ni sababu ya katiba mpya, kesi ilikua imepotezewa ila yalipoanza makongamano ya katiba mpya basi ugaidi ukaingilia kati!!
Hyo katiba mpya inapatikanaje sasa, ukizingatia Hal halis ya watanzania asilimia kubwa hawajui maana ya katiba mpya wao ni kulalamika tu , Kisha wanapoa!!
Hii kesi hata sio Ngumu kwa Jaji kama Alivyokiri yeye Mahakamani.
Ugumu wa kesi unakuja Kwasababu Jaji anataka kupindisha Sheria. Akitaka Kesi iwe nyepesi kwake basi Afuate Sheria.
Kuliko kuendelea kujidharirisha kwa kuwaambia Mawakili kuwa Hapa mbele mm napata tabu kwasababu nyinyi mko huko nyuma Mmekaa.
KIINI CHA MAWAKILI WA JAMHURI KUKOMAA KUIZUIA BARUA HIYO ISIPOKELEWE NI:Mawakili wa Serikali Kwanini Wanakataa Barua Isipokelewe? Wanaficha Nini?
Walikatisha Ushahidi Ghafla Ili mawakili wa utetezi wasipate muda wa kuandaa chochote lakini Ukweli Daima Husimama na Shahidi anaye Jitetea ameweka Wazi na ameonesha anajua anacho kisema na Kufanya.
Hiyo ni GEAR KUBWA. Hii kesi haina uzito wa kumhitaji TL. Kibatala na wwnzake wameshamaliza kazi. Hakuna kesi hapo...!Hivi TUNDU LISSU hawezi Kuja Kujiunga na Hii Kesi?
Akafungwe mama yako ndioo utafurahiaaaGaidi afungwe..anaichosha mahakama na mapingamizi ya kisiasa..judge umeona picture yakwmaba hao mashahidi upande wa magaidi wanaelekezwa mambo yakuja kuzungumza mahakamani..toka mwanzo nimesema hawa kazi yao nikuisumbua mahakama..wape kifungo chap na fimbo juu..
Mualifu ni mualifu tu hata dunia ipige kelele...ushahidi umenyooka hivyo alafu wanaleta bla bla mahakamani.
umchambua vyema msomi sizan kama Lay man anaweza hili👏1. Hakika kabisa, hii kesi siyo ngumu. Ugumu unakuja kwa sababu Jaji analazimishwa kutoa maamuzi kwa kupinda sheria
2. Ni sawa na kusema, kutiririka kwa maji ya mto naturally ni rahisi tu. Lakini ukitaka kuyalazimisha maji ya mto yatiririke kurudi yaliko toka, utapata shida sana na automatic hutaweza. Ndivyo anavyotaka kufanya Jaji katika kesi hii, kulazimisha maji yatiririke kupandisha mlima...!
KIINI CHA MAWAKILI WA JAMHURI KUKOMAA KUIZUIA BARUA HIYO ISIPOKELEWE NI:
1. Mshitakiwa Abdilah Ling'wenya anasema alipotolewa Moshi kwanza alifikia TAZARA police station na baadae Mbweni Police Station. Hakuwahi kupitishwa Central Police DSM...
2. Wao polisi na Jamhuri wanaoshitaki wanasema SIYO KWELI washitakiwa wote 1 Adamoo na 2 Ling'wenya baada ya kutoka Moshi, straight walifikishiwa Central Polisi DSM na baadae Mbweni Police Station na kamwe hawakuwahi kuwafikisha washitakiwa hawa TAZARA Police Station kuteswa kama wanavyodai...
3. Kuthibitisha hili, Jamhuri au upande wa mashitaka umeleta shahidi polisi wawili;
å Afande Msemwa wa Central Police DSM anayedai ndiye aliwapokea watuhumiwa na kushughulika ktk Selo ya C.P.D....
å Afande mmakonde na Mkuu wa Kituo cha Polisi TAZARA anayedai kuwa ktk tarehe hizo wanazotaja watuhumiwa kuwa walipelekwa kituo cha Polisi, TAZARA siyo kweli kwa sababu hakuwahi kuwapokea na hakuna kitu kama hicho ktk kumbukumbu za kituo chake wakati huo yeye akiwa ni kaimu mkuu wa kituo...!!
4. Sasa kwa kuwa polisi hawa wanabisha na ushahidi wao ni D.R za Central Police DSM na TAZARA ambazo pia zilibishaniwa sana na kuonekana ni za kughushi, ilibidi watuhumiwa watumie njia nyingine ili tu ku - prove uongo wa Polisi hawa...
5. Ndipo sasa mshitakiwa wa 2 ndugu Abdilah Ling'wenya akashauriana na mawakili wake kwa niaba yake waombe nyaraka kadhaa toka kwa RPC wa Ilala zitakazoonesha;
å Kama kweli Mkuu wa Kituo cha TAZARA amewahi kukaimu ukuu wa kituo TAZARA kwa nyakati zile alizosema ktk ushahidi..
å Kama kweli kulikuwa na movement order za watuhumiwa hao kutoka Central Police, Mbweni na maeneo mengine. Ndiyo maana wameomba OB, Station Diary nk
5. Hiyo barua haijulikani ilipokelewa na kujibiwa na RPC Ilala au vipi. Lakini wanataka ti kuingiza mahakama kwenye hili kitu ambacho Jamhuri na Polisi wangetaka kuona mahakama inalikataa kabisa kabisa maana litafunua mengi na pengine uongo Wa Polisi...
6. Kwa hiyo, hii barua ya Ling'wenya ikikubaliwa tu iingie kama kielelezo cha ushahidi wa Abdilah Ling'wenya inaweza kuwa na athari zifuatazo kwa upande wa mashitaka;
å Kumlazimisha RPC wa Ilala kuwapatia washitakiwa nyaraka hizo walizoomba kitu ambacho kitakuwa hatari sana kwao, maana. huo ndiyo unaweza kuwa mwisho wa uongo wao...
å Inaweza kuukosesha thamani ushahidi wote wa Afande Msemwa wa Central Police DSM na ule wa mkuu wa kituo cha Polisi TAZARA...
Hii ndiyo inayowafanya mawakili wa Jamhuri wapambane kuhakikisha hiyo nyaraka haipokelewi kabisa...!!
Kukatisha ushahidi wa ghafla ni ili kuwapoteza maboya mawakili wa utetezi kwa sababu ni wazi kuwa mmawakili wa Jamhuri walishaelewa hatari iliyoko mbele yao juu ya hili wanalobishana nalo sasa...
Kwa hiyo kujaribu kuwachanganya, waliamka asb, wakafika mahakamani na kutangaza kuufunga ushahidi wao lengo likiwa kuwasitukiza upande wa utetezi wasimwandae shahidi...
Very unfortunately kwao, kumbe shahidi yuko vizuri na mawakili wa utetezi nao wakawa wako sharp...
Kwa hiyo upande wa Jamhuri hawakudhani kuwa shahidi angeweza kuwa na ushahidi strong kiasi hicho hata kutaka kuimaliza kesi hii mapema hivi. Waingereza husema, THEY WERE CAUGHT BY SURPRISE...
Ni mpaka J'3 tarehe 29/11/2021. Hatujui watacheza vipi na Jaji wao. Lakini it's obviously that, Jaji ana wakati mgumu kwelikweli kuamua. It's either awabebe kwa kupinda sheria au asimame kwenye sheria...
Hiyo ni GEAR KUBWA. Hii kesi haina uzito wa kumhitaji TL. Kibatala na wwnzake wameshamaliza kazi. Hakuna kesi hapo...!
By the way, kumbuka kuwa, baadhi ya wanaoitafuta roho yake bado wapo. Mmoja mkubwa wao a.k.a JIWE alishakufa. Subiri nao wafe KIROHO na KIMWILI, kisha ndipo aje...
Kiongozi naimani uko salama, naomba niulize maana nimefwatilia hii kesi leo japo kwa twitter ila kuna jambo sijaelewa...1. Hakika kabisa, hii kesi siyo ngumu. Ugumu unakuja kwa sababu Jaji analazimishwa kutoa maamuzi kwa kupinda sheria

Naungana na wewe jamaa walipaniki kiasi kwamba wakaanza ku attack watu aiseee!! Kazi kweli kweli! Ila nahisi walitumia kama mechanism ya kuvuruga mahakama na kuwatoa mawakili wa utetezi kwenye reli japo hawajafanikiwa!Kwa mara nyingine tena Leo jaji anasogezwa kwenye angle ngumu kupindua meza, hii ni kutokana na jaji kutupilia mbali mapingamizi kadhaa ya upande wa utetezi huko nyuma kuhusu kupokelewa kwa nyaraka /barua za upande wa serikali.
Kanuni ya functus officio inamkaba jaji hawezi kurudi nyuma kuamua upya alichokwisha kuamua.
Kwa wale waliokuwa wakiwapuuza mawakili wa utetezi kwamba wanachelewesha kesi kwa mapingamizi sasa waone faida yake.
Huu ni mchezo unaohitaji projection nzuri
Upande wa utetezi sasa wanatumia njia ile ile kuingiza nyaraka na hoja ni moja tu kwa jaji, tumia sababu zile zile zilizokufanya upokee nyaraka za awali tulizozipinga.
Mpaka sasa Nikiusoma mchezo naona mawakili wa serikali ni wepesi kwenye kushambulia kuliko kukaba, Leo wamepaniki sana
Mkuu umedadavua vizur sana, hongera uko vizur upstairs!! Nimesoma as if nilikuwa naangalia game ya juzi Man city v/s PSG yaan burudani kabisa.Kiufupi hao mawakili wa serikali wameamua leo wapaki bus tu.1. Hakika kabisa, hii kesi siyo ngumu. Ugumu unakuja kwa sababu Jaji analazimishwa kutoa maamuzi kwa kupinda sheria