ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Utunzi wa Kamanda Kingai umeishapwaya sana, walichobakiza ni kulazimisha kukataa ushahidi unaowatengua nyonga. Nako pamoja na yote ya kubebwa bebwa wazidi kupwaya.Naomba unisaidie kuona ushahidi wowote au kielelezo chochote kinachoonyesha 'kula njama kutenda vitendo vya kigaidi'. Najaribu kutafuta kila siku sijafanikiwa. Labda ni mimi sielewi.
Tumkatae,,[emoji38]Jaji . Mungu anakuona.
Mambo vipi Kingai?“Criminals do not die by the hands of the law. They die by the hands of other men.”
― George Bernard Shaw, Man and Superman
Mbowe haponi hata kama mkimpeleka mkewe kama shahidi
Kwani umeisha wajulisha Sirro, Kingai na Jaji?Kama wakili wenu ni Mallya mnategemea kitu kweli..?Mallya anaenda mahaka
ani akiwa amelewa mbega kumtetea Mbowevaliyopo jela..wewe unategemea nini kitatokea?
Tatizo ni jaji.kwanini ameruhusu haya yatokee mahakamani?mawakili wa serikali walidhani pale oysterbay ni shimoni kiasi kwamba Msemwa alikuwa haonekani akiwa kazini hapo?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kama wakili wenu ni Mallya mnategemea kitu kweli..?Mallya anaenda mahaka
ani akiwa amelewa mbega kumtetea Mbowevaliyopo jela..wewe unategemea nini kitatokea?
Ngoja nimuibukie shahidi kule twita, hakika anajiamini sana.Tunahitaji mashaidi wanao jiamin i kam h uyu wa leo..!!! Anaweza kukitetea hata alichokiandika Twitter. Shahidi Shahidi Kweli
Tunaomba muendelezo wa huyu Shahidi.
Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe, mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.
Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika.
Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule ushahidi wa Sabaya wa kuunga unga na gundi.
Siamini kama jamhuri inaweza kupoteza pesa nyingi kutengeneza kesi kubwa namna hii.
Kumbuka mashahidi wanaotoa ushahidi katika kesi hii ukiconnect doti kama unapata jibu chanya.
Jamhuri wametumia kodi ya wananchi katika upelelezi wa kesi hii na mchakato mzima unaohusu hii kesi.
Sasa kama mbowe atakuja kushinda kesi,ni heri jamhuri hata kama mtu amefanya uhaini wowote watumie njia nyingine kumkabili kuliko kumpeleka mahakamani.
Na sasa hivi wanachofanya mawakili wa mbowe ni kuweka mapingamizi mengi ili yakitupwa na mahakama waweze kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.
Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia
Tunaomba judge asisikilize pressure kutoka kwa wanasiasa au wanaharakati fulani fulani na vyomba vya habari wenye mrengo ule wa kisiasa, kwasababu atainajinsi mahakama. Hata Dunia ipige kelele mhalifu ni muhalifu tu
'Unamkuot' mwanaume mwenzako halafu unajiona mjaaanjaaaa!“Criminals do not die by the hands of the law. They die by the hands of other men.”
― George Bernard Shaw, Man and Superman
Mbona Kesi haifiki kwenye Kupanga Njama za Kutenda Ugaidi? Nilitaka niskie Mpango ulivyoratibiwa, Silaha na Vilipuzi viliyonunuliwa, Mashoka,Chainsaw, n.k. Ili Kesi iishe. Hivi Gaidi aliwezaje kupitishwa na Nec kuwa Mgombea Ubunge? Na Kampeni akafanya Gaidi🤑Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe, mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.
Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika.
Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule ushahidi wa Sabaya wa kuunga unga na gundi.
Siamini kama jamhuri inaweza kupoteza pesa nyingi kutengeneza kesi kubwa namna hii.
Kumbuka mashahidi wanaotoa ushahidi katika kesi hii ukiconnect doti kama unapata jibu chanya.
Jamhuri wametumia kodi ya wananchi katika upelelezi wa kesi hii na mchakato mzima unaohusu hii kesi.
Sasa kama mbowe atakuja kushinda kesi,ni heri jamhuri hata kama mtu amefanya uhaini wowote watumie njia nyingine kumkabili kuliko kumpeleka mahakamani.
Na sasa hivi wanachofanya mawakili wa mbowe ni kuweka mapingamizi mengi ili yakitupwa na mahakama waweze kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.
Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia
Tunaomba judge asisikilize pressure kutoka kwa wanasiasa au wanaharakati fulani fulani na vyomba vya habari wenye mrengo ule wa kisiasa, kwasababu atainajinsi mahakama. Hata Dunia ipige kelele mhalifu ni muhalifu tu
Mmhh... 😳😳Kumbe wewe ni mwanamume??'Unamkuot' mwanaume mwenzako halafu unajiona mjaaanjaaaa!
Nyau ww!
Hujaelewa concept! Hata watakatifu wa Mungu wataliwa na funza; ndio njia ya kila mwanadamu. Tatizo ni aliyejiona kama Mungu wa nchi kumbe si lolote si chochote; naye anaoza? Naye analala kaburini?Mbona hata wewe utaliwa na fuza tena wale weusi na wabaya
Kama master mind wa ukamataji Kingai ameshatoa ushaidi wake pumba, unategemea Nani mwingine aje atoe ushaidi wa kueleweka?? Hapo sasahivi ni mwendo wa maigizo na vichekesho tu
NDIOMmhh... 😳😳Kumbe wewe ni mwanamume??
Wanaume hawahitaji kusema kwamba wao ni wanaume wanaonyesha kwa vile umesema wewe siyoNDIO
Tuseme kwamba ikibainika bila ya shaka yoyote kwamba Washtakiwa hawakufikishwa Central, Dar; na pakawepo ushahidi usiokuwa na shaka kwamba washtakiwa walikuwepo Tazara na Mbweni, hapo kesi ya msingi ya kula njama bado itakuwa na miguu ya kutembea kweli?..baada ya hii utetezi wanatakiwa walete mashahidi watakaothibitisha kwamba washtakiwa walifikishwa kituo cha Polisi Tazara, na Mbweni.
Wewe piga ramli tuTuseme kwamba ikibainika bila ya shaka yoyote kwamba Washtakiwa hawakufikishwa Central, Dar; na pakawepo ushahidi usiokuwa na shaka kwamba washtakiwa walikuwepo Tazara na Mbweni, hapo kesi ya msingi ya kula njama bado itakuwa na miguu ya kutembea kweli?
Sina muda na chizi kama wewe hapa.Wewe piga ramli tu
WEWE usidangenye WATU ,hufatilii hii kesi, ushahidi GANI umenyooka KWa upande wa serikali,?Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe, mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.