Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Manyang'au yanatoa ushahidi wa uongoKesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani baada ya kuahirishwa jana. Leo Jaji atatoa maamuzi ya mabishano ya kisheria yaliyotokea jana kati ya mawakili wa Utetezi na Jamhuri.
Leo Jamhuri inaendelea na shahidi yule yule Jumanne Malangahe.
Kuwa nami.
========
Mkuu msamehe tu huyu mfiwa, wana stress za kudumu hawa, na wanafikiri kumkomoa Mbowe kutawaponya!Heat na eat ni viwili tofauti ingawa utamkaji wake ni mmoja.
Thomson na Thompson ni watu wawili tofauti.
Huna akili, kenge takataka kabisa.
Tamthilia imeanza, enjoy!Haaaa haaaa niko na popcorn 🍿 na juice 🥤 ya tende.
Sidhani kama utakuwa ni uamuzi wa busara kuisusia kesi.najiuliza tu kama mawakili wote upande wa utetezi wakijitoa kwa kutokuwa na imani na mahakama juu ya maamuzi ya Jaji leo, je nini inaweza kuwa mustakari wa washitakiwa ? wajuvi tafadhali.
Haya ndio madhara ya kutotumia condom unapovunja amri na kahaba, madhara yake ndio linazaliwa toto jinga na pumbavu kama hili.Wamfunge tu huyu gaidi ..sijui wanasubiri nini..jambo ambalo ushahidi upo wazi wanaanza kuzungusha zungusha..judge angalia wasikumanipulate kisiasa...hiyo issue ipo wazi soma hukumu chap
They are SaddistsMkuu msamehe tu huyu mfiwa, wana stress za kudumu hawa, na wanafikiri kumkomoa Mbowe kutawaponya!
Sisi tupo kwa nyuma yako hapaNafasi ya mbele kabisa.
ushahidi wa RAU Madukani siyo kwa muuza mbege !!Wamfunge tu huyu gaidi ..sijui wanasubiri nini..jambo ambalo ushahidi upo wazi wanaanza kuzungusha zungusha..judge angalia wasikumanipulate kisiasa...hiyo issue ipo wazi soma hukumu chap
Usisahau wengine hulipiwa bando kwa kazi maalumu ya kuwavuruga wanaofuatilia kesi, huyu ni mmoja wao.Heat na eat ni viwili tofauti ingawa utamkaji wake ni mmoja.
Thomson na Thompson ni watu wawili tofauti.
Huna akili, kenge takataka kabisa.
shindwa pepoooo!Wamfunge tu huyu gaidi ..sijui wanasubiri nini..jambo ambalo ushahidi upo wazi wanaanza kuzungusha zungusha..judge angalia wasikumanipulate kisiasa...hiyo issue ipo wazi soma hukumu chap
AiseeHayahayahaya, judge anarefusha manenoooo mpaka watu wanataka kupasuka vifua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]