Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani baada ya kuahirishwa jana. Leo Jaji atatoa maamuzi ya mabishano ya kisheria yaliyotokea jana kati ya mawakili wa Utetezi na Jamhuri.

Leo Jamhuri inaendelea na shahidi yule yule Jumanne Malangahe.

Kuwa nami.

========
Manyang'au yanatoa ushahidi wa uongo
 
najiuliza tu kama mawakili wote upande wa utetezi wakijitoa kwa kutokuwa na imani na mahakama juu ya maamuzi ya Jaji leo, je nini inaweza kuwa mustakari wa washitakiwa ? wajuvi tafadhali.
Sidhani kama utakuwa ni uamuzi wa busara kuisusia kesi.
 
Wamfunge tu huyu gaidi ..sijui wanasubiri nini..jambo ambalo ushahidi upo wazi wanaanza kuzungusha zungusha..judge angalia wasikumanipulate kisiasa...hiyo issue ipo wazi soma hukumu chap
 
Hivi jana walifikia wapi kwenye ule mkanganyiko wa sheria iliyotumika kuwasachi watuhumiwa na kuchukua vitu walivyokuwa navyo au uamuzi wake ni leo?

Maana kuna muda mleta uzi wa jana ambaye namuona kaleta leo alikatika mazima...
 
Wamfunge tu huyu gaidi ..sijui wanasubiri nini..jambo ambalo ushahidi upo wazi wanaanza kuzungusha zungusha..judge angalia wasikumanipulate kisiasa...hiyo issue ipo wazi soma hukumu chap
Haya ndio madhara ya kutotumia condom unapovunja amri na kahaba, madhara yake ndio linazaliwa toto jinga na pumbavu kama hili.

Tusisahau kutumia condom.
 
Jaji akumbuke mahali alipo ndipo haki ya mtu inapopatikana na Yeye amewekwa hapo katika nafasi ambayo ni sawa na Mungu ya kuamua watu wake sasa kwa kuwa ana wajibu mzito hivyo tunamuombea Bwana amuongoze kutenda haki maana naye ipo siku atasimama mbele ya kiti cha hukumu kupimwa na yeye asiyekosea wala kupokea rushwa
 
Back
Top Bottom