Wakilia wewe utakuwa unacheka? Hii kesi itakutoa kwenye huo umasikini wako?Jana kuna kitu niliandika humu kuhusu hii kesi..niliishia kudhihakiwa tu.ila mwisho wa hii kesi kuna upande watalia sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakilia wewe utakuwa unacheka? Hii kesi itakutoa kwenye huo umasikini wako?Jana kuna kitu niliandika humu kuhusu hii kesi..niliishia kudhihakiwa tu.ila mwisho wa hii kesi kuna upande watalia sana..
Ebu kafie mbele hukoWakilia wewe utakuwa unacheka? Hii kesi itakutoa kwenye huo umasikini wako?
Wakilia wewe utakuwa unacheka? Hii kesi itakutoa kwenye huo umasikini wako?
Unakuwa na roho mbaya ya kichawi kuona mwenzako ananyanyasika kwa kesi ya uongo ya kutungwa na jambazi mkuu Sabaya.Ebu kafie mbele huko
Tumekupata repoter wa kujitolea. Je, vipi mahudhurio leo hapo mahakamani?Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani baada ya kuahirishwa jana. Leo Jaji atatoa maamuzi ya mabishano ya kisheria yaliyotokea jana kati ya mawakili wa Utetezi na Jamhuri.
true, ni dhambi kubwa mno kila kitu kumwachia Muumba, na ndiyo maana Mussa aliambiwa ni lazima asimame na awavunshe wana wa Israel kwenda kaanani.Tukimuachia Mungu ipo siku tutauliwa wote
Wanahitajika mashujaa kama Hamza kwa wingi sana.true, ni dhambi kubwa mno kila kitu kumwachia Muumba, na ndiyo maana Mussa aliambiwa ni lazima asimame na awavunshe wana wa Israel kwenda kaanani.
Mi nafikiri wazo la kudai katiba mpya likolezwe mara dufu baada ya hukumu hii ambao wengi tunajua namna itakavyokuwa.
Naunga mkono hoja kwani CCM imekubuhu kwa ugaidi wa kutumia mabavu ya vyombo vya dola kuungamiza upinzaniWanahitajika mashujaa kama Hamza kwa wingi sana.
Unamaanisha Ugaidi wa kidola?Naunga mkono hoja kwani CCM imekubuhu kwa ugaidi wa kutumia mabavu ya vyombo vya dola kuungamiza upinzani
hiki ndicho kikosi cha kisasi, kilichompa Mbowe kesi ya ugaidi, kwenye list ongezea na afande Jnne na yule gaidi mkuu aliyepigwa mvua 30.Shahidi: Afande Kingai, Inspector Mahita, Detective Constable Goodluck na Detective Coplo AZIZI ambaye alikuwa ni Dereva
Ukiangalia wote wanatoka kwenye ile dini ya kigaidi conect doti sasahiki ndicho kikosi cha kisasi, kilichompa Mbowe kesi ya ugaidi, kwenye list ongezea na afande Jnne na yule gaidi mkuu aliyepigwa mvua 30.
Ndiyo mkuuUnamaanisha Ugaidi wa kidola?
dini ya kigaidi!? Huna akiliUkiangalia wote wanatoka kwenye ile dini ya kigaidi conect doti sasa
Hatauyo anaesema anamuachia Mungu, Mungu anamuangaliatu nakumuona mpuuzi maana binadamu akishindwakitu ndioanasema anamuachia Mungu.Tukimuachia Mungu ipo siku tutauliwa wote
Subiri usiwe na haraka, ni saatatu ya saanne kimahakama.Jamani saa tatu si ndio Hii? Kumbe Majaji nao hawafati muda?
Tuko hapa hata supu imetushinda Kula tunasuburi Mahakama ianze kwanza ndio tunywe supu.