Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

Kesi hii hata kingwendu angekuwa wakili wa serikali Jaji angekuwa anamkubalia kila kitu!

Naichukia serikali hii katili na ya kishetani!
Kama nilivyolaani utawala wa Magufulu, nalaani na kumlaani pia Rais huyu kwa uonevu huu wa kishenzi
 
Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani baada ya kuahirishwa jana. Leo Jaji atatoa maamuzi ya mabishano ya kisheria yaliyotokea jana kati ya mawakili wa Utetezi na Jamhuri.
Tumekupata repoter wa kujitolea. Je, vipi mahudhurio leo hapo mahakamani?
 
Tukimuachia Mungu ipo siku tutauliwa wote
true, ni dhambi kubwa mno kila kitu kumwachia Muumba, na ndiyo maana Mussa aliambiwa ni lazima asimame na awavunshe wana wa Israel kwenda kaanani.

Mi nafikiri wazo la kudai katiba mpya likolezwe mara dufu baada ya hukumu hii ambao wengi tunajua namna itakavyokuwa.
 
Wanahitajika mashujaa kama Hamza kwa wingi sana.
 
Mimi na kijiwe chetu tunaingia hapa kufuatilia kesi hii ya kihistoria yenye manufaa mapana kwa umma.
 
Shahidi: Afande Kingai, Inspector Mahita, Detective Constable Goodluck na Detective Coplo AZIZI ambaye alikuwa ni Dereva
hiki ndicho kikosi cha kisasi, kilichompa Mbowe kesi ya ugaidi, kwenye list ongezea na afande Jnne na yule gaidi mkuu aliyepigwa mvua 30.
 
hiki ndicho kikosi cha kisasi, kilichompa Mbowe kesi ya ugaidi, kwenye list ongezea na afande Jnne na yule gaidi mkuu aliyepigwa mvua 30.
Ukiangalia wote wanatoka kwenye ile dini ya kigaidi conect doti sasa
 
Jamani saa tatu si ndio Hii? Kumbe Majaji nao hawafati muda?

Tuko hapa hata supu imetushinda Kula tunasuburi Mahakama ianze kwanza ndio tunywe supu.
Subiri usiwe na haraka, ni saatatu ya saanne kimahakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…