JF administration, mfuteni huyu anachafua jukwaa lenu!Usiangalie rangi ya paka-jali ukamataji panya wake
Umeelewa lakini? kama hujaelewa muulize Mh. LISSU
Hizi mambo ni kujishushia heshima!ZINA MAANA MKUU SANA KULIKO LILE SWALI NA KIREFU CHA DCI
Mkuu niaelewa na sababu ya msimamo wako. Uri kesha hojiwa. Mbowe alikataa kutoa maelezo polisi na akaahidi atafanya hivyo mahakamani. wakati wake hajafika. wache ufike ndipo tujadiliane.Ndiyo maana mahakama husikiliza pande zote na kupima nguvu ya ushahidi.
Ushahidi wa Urio umejaa story tu, lakini pia una tofauti nyingi Sana na kubwa, juu ya maelezo yake mwenyewe aliyoyawasilisha mahakamani hapo awali, lakini pia bado anatofautina na haohao wenzake akina kingai kwa kiwango kikubwa.
Matobo haya yanaufanya ushahidi wake kuwa wa mashaka sana juu ya ukweli wa kile anachoki "hadithia".
Pamoja na kasoro zake hizo bado hakuna hata sehemu moja ya maelezo yake alipofanikiwa kuithibitishia mahakama kuwa Mbowe alikuwa na nia ya kutenda au palipo na viashiria vya nia hiyo.
Kinyume chake aliyekuwa na nia ya kutenda ugaidi ni Urio aliyekuwa akitaka "kuiegesha"nia hiyo kwa Mbowe kupitia hitaji sahihi la Mbowe la kutafuta ulinzi.
Comte kubali kuwa Urio na Kingai walishindwa Sana ktk dhamira yao ya kishetani na vyeo walivyo tunukiwa kutokana na kazi hii ya uovu wavuliwe maana wamepoteza fedha nyingi Sana za serikali bila mafanikio, zaidi tu ni aibu kubwa kwa serikali na kuiongezea chuki kutoka kwa Wananchi.
Thubutu- hili si gazeti la CHADEMA ni public sphere. Naelewa CHADEMA MMEJAA HUMU LAKINI na tusio CHADEMA TUMO.JF administration, mfuteni huyu anachafua jukwaa lenu!
Upo sahii ila jambo hilo limepitwa na wakati mvua imenyesha kila palipovuja pamejulikana muda si mrefu maduka yatauza mabati na musumari mafundi wataingia kazini kupaua kila nyumba iliyovuja ni suala la muda tusibiri tuoneHii kesi jamuhuri ingeipiga tu chini, muungwana akivuliwa nguo huchutama!
Onyesha wapi mbowe katenda ugaidi na kiongozi gani kadhuria na kituo gani kimelipuliwa na miti ya wapi ilikatwa!?Mh. Kibatala naona akili yake yote iko kwenye sheria ya ushahidi na PGO. Sheria ya kuzuia na kupambana na matendo ya ugaidi siyo lazima uwe na vilipuzi au ulipuwe ndiyo uwe umetenda ugaidi.
Kuwa na nia tu kama Mbowe alivyofanya na kuthibitishwa na Urio; kukusanya watu kwa nia kutimiza nia hiyo ni kinyume cha sheria hiyo
Naomba kuongeza neno uozo mkubwa kuna wanaokalia nafasi kwenye taasisi kwa thamani ya elimu isiyokidhi hajaKwa wakuu wahusika humu: heshima yenu! Hii kesi ni kubwa na muhimu sana, inafunua jinsi jamii na taasisi zetu zilivyooza....ninapendekeza/omba ikiwapendeza mlolongo wa hii kesi tangu ilipoanza uwekwe pamoja ili hata wale ambao hawakupata bahati ya kuanza nasi iwe rahisi kwao kupata mfululizo wa kesi hii kwa tarehe ambazo walipitwa.
Wewe ni wa kupuuzwa tu. Hakuna haja ya kuhangaika na mtu ambae ubongo wake ni mavi, Ni kupoteza muda.Mkuu point- halafu imeweka watu pale Mh. Kibatala na Genge lake wanauliza maswali hayana maana siku 3
Ndipo leo alipocheka pale alipobambwa kujitumia meseji kwa simuyake ilipobainika mpumbafu sana huyu UrioKaulizwa swali zuri kwamba kwanini Simu za Mbowe hazijakamatwa kuthibitisha mawasiliano baina yao!????? Wanajua hayo mawasiliano wameyachonga ndo maana wana simu za urio ila za Mbowe hawakuzikamata maana ni mchongo
Mkuu mbona Hilo suala la Mawakili wa Utetezi kuivua nguo Serikali lilishafanyika toka mwanzo. Hili suala limefika hapa lilipo kwa nguvu ya Mamlaka na siyo kisheria.Yaani ni full kujichanganya...
Hebu fikiri hivi;
1. Simu zinakadhiwa na kushikiliwa polisi tangu tarehe 12/8/2020...
2. Shahidi anakutana nazo mahakamani Januari, 2022...!
3. Lakini cha ajabu simu hizo zinaonekana kutumika hapa katikati. Zimetokaje polisi? Wao wabumba kesi bila shaka wanajua..
4. After all kuna hili very interesting, kuwa, hakuna uthinitisho/risiti ya makabidhiano iliyopelekwa mahakamani kuonesha kuwa hizo ni mali za Urio na zilikuwa polisi kwa uchunguzi...
5. Tuwape kongole jamani mawakili wa upande Wa utetezi kwa sababu wanafanya kazi kubwa na ngumu sana kumwokoa M/Kiti toka ktk midomo ya hawa simba wala watu...
Wanaendelea kuthibitisha pasipo shaka kuwa, mashtaka hayana ukweli wa uhalisia kwa sababu ni ya uongo wa kutungwa na watu wakiwa wamekaa ofisini...!!
Shahidi: Hii ilitoka kwangu kwenda kwa Freeman Aikael Mbowe.Wewe ni wa kupuuzwa tu. Hakuna haja ya kuhangaika na mtu ambae ubongo wake ni mavi, Ni kupoteza muda.
Shahidi: Hii ilitoka kwangu kwenda kwa Freeman Aikael Mbowe.Mkuu mbona Hilo suala la Mawakili wa Utetezi kuivua nguo Serikali lilishafanyika toka mwanzo. Hili suala limefika hapa lilipo kwa nguvu ya Mamlaka na siyo kisheria.
Weka wazi kwanguvu za Chui kubwaMkuu mbona Hilo suala la Mawakili wa Utetezi kuivua nguo Serikali lilishafanyika toka mwanzo. Hili suala limefika hapa lilipo kwa nguvu ya Mamlaka na siyo kisheria.
Did you have a nice weekend?
Like speak again