Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

Hao ni Telegram. Id yako inakuja code namba kama sikosei,
Kipindi niko quantico tulitumia telegram sana, wanaweka eroplane mode kisha wanawasha WIFI, kwenye wifi spot message au call inaenda
Quantico ya chato labda..sio chuo Cha FBi
 
Kuna sehemu Urio Kapewa Vitu vya Kwenye Biblia Hadi Roho Imemuuma Amenyong’onyea Akawa Mpole Zaidi.
 
Kwahiyo hapa ni nafuu kwa mashtaka au utetezi?
 
Urio hayupo sawa,wampeleke kwa wanasaikolojia kabla hajaharibikiwa zaidi.
Ulio yupo sawa na kibatara anatoa ushahidi mzr Sana anawasaidia upande wa jamhuri ku justify kuwa kulikuwa na mawasiliano, na komando anathibitisha, kimsingi mwisho wa ck anachokifanya ulio Ni mtego ambao kibatara anauingia bila kujua au kwa kujua,

Stay tuned..
 
Waligoma kuwa upande wa watesi wakakubali kuteseka na Mbowe hata huyo Urio analinda kibarua chake.
 
Mtanisamehe bure ila maswali ya mawakili wa utetezi ni dhaifu.
 
Kumbe unaweza kuajiri komandoo kwa tsh 15000 kutwa kama bei ya kibarua wa ujenzi.

Hawa watu waangaliwe aisee hata kama wamestaafu au wametimuliwa jeiwii.
Acha tu.komandoo katafutiwa kaz ya kubonda kokoto na mzee wake malip 15k per day aisee Ila hakuna Kama mzazi duniani .Kaona isiwe tabu mwanangu njoo ufany kazinhata hii ujiepushe a madhira ya serikl
 
Tuendelee kunywa kahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…